Tuesday, 19 July 2016

NDANI YA CLUB LYRICS BY PREZZO


Intro


njoo
njoo manzi tukatike 
songea karibu tukatike inua mkona juu tukatike 
njoo songea karibu tukatike


  (CHORUS)


utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub

utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub


utaniona carnivore utanicheki on dubs
ukiniona na dames 69 in the club
nikiwa na wyre everybody show me love 
ukidhani sio me love hommie aint nothin change 
why stop bling bling cheki waya kwenye shingo men Jesus
hauwezi kucompete with a playa like me
walinidunga dagga but i dont walk with a limp
kwenye hood wanasema 50 you're hot they like me i want them to love like they love PAC
in the streets NAI wananijua kidogo
na remix hii leo niweze kuwa na wengo
niko foccussed man joo kwanini unanimind
got the mill on the deal na nataka kusag
na kama haufeel ma style how feel ma flow 
na misijali joo cos i always .........OK


  (CHORUS)


utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub

utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub


ma manzi wanataka mi nin flow
kila siku wanataka ku flow
in ma crib ma cars ma flow ma doo
look hommie i came and i changed
mtanipenda mpende msipende huwe umejam
nilidhani mtafurahi nime make it
see yo me kwenye bar toasting to the good life
ma hatters wanataka kunivuta down right
nikicheck kwenye club wasenge ni 100
natafuta dame mmoja mdogo akicheka she's gone
if the roofs on fire man wacha i burn
mwanisema sema yeah i aint concerned
nawambia wa------------ sema j fanya mambo 
wakifika ----------wakitema shauri yao
natutafika carnivore with a bond of love 
nawakilisha CAV\



  (CHORUS)


utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub

utanikuta kwa club karibu na pub
nataka kuwa mdosi staki kuwa mfanyikazi
nataka kuwa don staki kuwa kama scrub
mami give me a hug and i gettin rub

No comments:

Post a Comment