Saturday, 9 July 2016

Mapenzi yana-run Dunia lyrics by Ali KIba

Verse 1
Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh

Fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
Mimi na yeye 
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue 
Kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa 
Najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli 
                             
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia 

Mapenzi yana-run duniaaaa 

Feel free to love
Feel free to love 
Verse 2
Wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda 
Na kuna waliokimbia... hii dunia... sababu hiyohiyo kupenda 
Yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala 
Beste wangu nilimpendaaaa umefanya mpaka sasa kajiua 

Fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda 
Ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima 
Haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama 
Hwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona 

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye.. 
Mimi na yeye 
Kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue 
Kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa 
Najua mwanamke akipenda, huwa...kapenda kweli 

CHORUS
                                                                               
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia 
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia 
Mapenzi yana-run duniaaaa 

Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia 
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia 
Mapenzi yana-run duniaaaa

Feel free to love 
Feel free to love

No comments:

Post a Comment