Tuesday, 12 July 2016

HUU MWAKA LYRICS BY JAGUAR

Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee (x3)
Lazima huu mwaka niwashangaze lazima nipate ee yeah ee 
Huu mwaka lazima nipate ee yeah ee huu mwaka lazima nipate 
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate 
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate (x2) 

Wanasema masikini ni mtumishi wa tajiri
Miaka iliyopita maisha yangu kajawa na giza totoro 
Nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni
Nyumba nzuri, gari nzuri, kazi nzuri, bibi na familia 
Lazima huu mwaka niwashangaze ee yeah ee yeah ee (x2)
Siku zasonga miaka inapita na bado niko palepale
 (Siku zasonga miaka inapita)
Huu mwaka lazima nipate 
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate (x2)

Kama simba nimeamua liwe liwalo sili nyasi iwe mvua, iwe jua simba hali nyasi
Penye nia pana njia haijalishi kule nimetoka nisha amua ninachotaka ee nami lazima nipate
Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate
Nipe uzima nipe uhai mola huu mwaka nipate nimeamua sifi moyo mola lazima nipate

Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate (x2)
Nipate, nipate huu mwaka lazima nami nipate

Kazi nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Nyumba nzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Bibi mzuri nipate, huu mwaka lazima nami nipate
Niwe sonko kama sonko huu mwaka lazima nipate 
Aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami nipate
Huu mwaka ee yeah huu mwaka ee huu mwaka lazima nipate (x2) 

No comments:

Post a Comment