Tuesday, 12 July 2016

UTAWALA LYRICS BY JULIANI


Chorus

Niko njaaa hata siezi karanga 
Hohehahe, shaghala baghala
Niko tayari kulipa gharama
Sitasimama maovu yakitawala
 Sitasimama maovu yakitawala 
Ufisadi, ubinafsi ukabila 
Kuuza sura wataki kuuza sera 
Undugu, nikufaana 
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala



Verse 1

Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa
Hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busaa ama kettle ya shisha
Mfuko unasikia echo
Utajua thamani ya mali na size ya kifuli
Hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for
Unaeza argue crime doesn't pay lakini huezi dismiss justice ina bei
Mwizi ana forty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter
Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora waione kwa currency
Sababu gani siko affected na turbulence nikifly angani
Nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani


Chorus

Niko njaaa hata siezi karanga 
Hohehahe, shaghala baghala
Niko tayari kulipa gharama 
Sitasimama maovu yakitawala
 Sitasimama maovu yakitawala 
Ufisadi, ubinafsi ukabila 
Kuuza sura wataki kuuza sera 
Undugu, nikufaana 
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala

Verse 2

Ndio wa raise funds itabidi u raise hands
Growing concerns, breakfast za croissants
Hatutaki upunguze bei ya bidhaa
Tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa
Walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
Nimeshinda nikitembea ma ofisi nasijawai ona kazi
Siezi cheza Golf venye tiger would Mambo si bara bara China Wu
Naomba journey mercies chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani
Policeman anapiga rungu mwalimu, daktari anamrushia teargas
Na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts

Chorus
Niko njaaa hata siezi karanga 
Hohehahe, shaghala baghala
Niko tayari kulipa gharama 
Sitasimama maovu yakitawala
 Sitasimama maovu yakitawala 
Ufisadi, ubinafsi ukabila 
Kuuza sura wataki kuuza sera 
Undugu, nikufaana 
Sitasimama maovu yakitawala
Sitasimama maovu yakitawala

Verse 3
Sewer za state house na latrine za ghetto ziupatana Nairobi River
No more nitalive by hand to mouth Ushawai sikia maskini anaugua gout
Nikiwa na nguvu ya kung'oa reli definately kuinua kura si nzito ukiingiza kwa ballot box
Chagua kiongozi wa kweli
Moha, John Allan Namu Jicho Pevu wakianika mkono refu inapick pocket wanyonge
Navaa mask ka goal keeper wa hockey waezi ni Kerubo
Kenya ni kama boxing hakuna sub Work with what we have

No comments:

Post a Comment