Friday 20 November 2015

Mama lyrics by Bahati

Mama lyrics by Bahati

Bahati Bahati Tena Flame
International
Mwanabuja Wee
Mimi Naimbia Mama, Mimi Nasifu Mama, Mama

Chorus
Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse1
Nimetu Dakika Keti Chini Nikuambie
Nachukua Hii Fursa Mama
Wacha Nikuambie
Nimetu Dakika keti Chini Nikuambie
Nachukua Hii Fursa
Na Dunia Isikie
Miezi Tisa Ndani Yako
Kunibeba Uchovu
Na Miaka Tisa Kando Yako
Ukinitoa Uovu
(Mama)
Miezi Tisa Ndani Yako
Kunibeba Uchovu
Na Miaka Tisa Kando Yako
Ukinitoa Uovu

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse 3
Uuu Utovu Wa Nidhamu
Ndani Yangu Ukaupiga
Na Ndoto Za Utotoni Ukinipa
Motisha
(Mama)
Utovu Wa Nindhamu
Ndani Yangu Ukaupiga
Na Ndoto Za Utotoni Ukanipiga
Motisha

Mwanangu Unaweza Lolote
Ukijikaza Utafika Popote
Mwana, Unaweza Lolote
Maono Mengi Ulifanya Niote x2

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse 3

Ulinyima Nipate Wee,
Hukutaka Nikose ee
Ulinyima Nipate Wee,
Hukutaka Nikose ee
Ulinyima Nipate
(Mama)
Hukutaka Nikose ee
Hukutaka Nikose ee

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana *2

Liii Mama, Nakupenda Mama
Asante Mama RIP Love Yah!!!

No comments:

Post a Comment