Matokeo lyrics by Gloria muliro
Sasa nangonja matokeo
kutoka kwako jalali x2
Mimi nimefanya mtihani mingi
sana
Nimepitia madarasa mengi
sana
kwa kila darasa Yaweh
Umekuwa mwalimu wangu
Umenifunza kuomba
Umenifunza subira
Umenifunza kungoja Baba
Nimekuwa mwanafunzi
mwema kwako Baba
Usiku mrefu sana, mbona
hakupambazuki?
Nimejaribu sana
kukupendeza maishani
mwanga
Nimefanya kazi, hiyo
umeona Yesu
Nimetoa fungu la kumi hiyo
Chorus
Asubuhi ikifika, ije na
kicheko
Asubuhi ikifika, ije na
amani
Asubuhi ikifika, ije na
furaha
Asubuhi ikifika, ije na jibu
langu
No comments:
Post a Comment