Saturday 19 May 2018

MURDER LYRICS BY WILLY PAUL

[Intro]
hahahaa
sal di di do
(Who do you think you are young man Pozze)
hehehehehe
Bizzi B

[Verse 1]
Eih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa katah!
Eh!Eih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa katah!
Eih!
Heeey...mmmmh
wanaonijua,wanajua navyo penda mke wangu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana wangu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde

[Verse 2]
ju me na nga'nga'na
nipate unga
nilishe mwana na familia
mke wangu sina kazi
lakini bado unanipenda
Oh baby nashangaa ulikubali vipi kuwa wangu mimi
baby nashangaa ulikubali vipi na urembo huo wote
wenye ma Rangi Rover
wanataka kuni murder
naomba unishikilie,wangu maulana
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Verse 3]
Eih!Eiiih!Eiiih!
Wacha niombe in tounges raka kapapa katah!
Mke wangu amekataa deali za ma sponsor
raka kapapa katah!
wameshindwa kuni murder
Wacha niombe in tounges raka kapapa katah!
familia iko bomba
Wacha niombe in tounges raka kapapa katah!

wanaonijua,wanajua navyo penda mke wangu weh
wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana wangu pia
wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

[chorus]
sababu wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
wanataka kuni murder
wachukue wangu mama
(I'll have t take of you coward!:Boss out to kill Pozze)
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Verse 4]
Baby,cause of the love that I have for you nitakuombea
(Nooooo!You'll have to take me out first:Pozze's wife)
Yuko wapi Dj Mo,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
Yuko wapi Sadic,aaje tuombe in turns
raka kapapa!
(Nooooo!You'll have to take me out first:Dj Sadic)
(What do you know about love you rasta?)
24/7 unilinde
(What is it with you and this love..eh you cowards?:Boss out to kill Pozze)
wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

[Outro]
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu
(Love is a big guy my dear:Boss out to kill Pozze)
(Love is the greatest commandment) a

No comments:

Post a Comment