.
.
.
.
.
.
New hit single by Otile Brown performing the song Niseme Nawe featuring Barakah The Prince... Audio produced by Teddy B. and video directed by Dr. Eddie.
LYRICS
Hey turuh turuh turuh turuh turuh turuh
hey naitwa Raj uaitwa nani,wewe unaitwa nani
hivi unatoka mtaa ngani wewe mtaa ngani
hivi we mwana wa ni,wewe mwana wani
mda wote umekuaga wapi ,wewe umekuaga wapi
naomba usinipe kisogo nataka niufungue uu moyo
by the way namiliki gari na sasa liko garage kidogo
attention attention babe can i get your attention
me sina ubaya just wanna give you some love and attention
sijui nakua wapi ila naomba nitembea nawe
nina mengi mi nataka niseme nawe X2
nataka niseme nawe
kidogo niseme nawe x2
na wewe mmmmh
so babe please so no turn ndio maisha nasema si utani
unanimaliza mamaaa.
watu fulana wanadai nikuache uwa unatoka na fulani
mbona bila bila mamaaaa
twende nyumbani dada ameandaa kachwali nile nawe
kisha maishani pale niishie birikani nikiwa nawe
aukoko beach tupunge upepo wa bahari
mombasa malindi tukale izo kachili jamani
mama tanzania jameniii
sijui nakua wapi ila naomba nitembea nawe
nina mengi mi nataka niseme nawe X2
nataka niseme nawe
kidogo niseme nawe x2
hadi Tanzania, mombasa nairobi kenya
Dar eslaama nitembee mimi na wewe
ooh Tanzania hadi Kambala Uganda Bunjumbura
nitembee na wewe babe
Burudi na Rwanda bongo kinshasa
sudani Ethiopia nitembee nawe x2
a
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Verse 1 Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nis...
-
[Chorus] Watu walishachonga sana Eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana Kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss, hug si...
ĸalιιι
ReplyDeleteSafi
ReplyDeletelove it
ReplyDeletelove it
ReplyDelete