.
.
.
.
.
.
Darassa and Ben Pol release MUZIKI
the song is all about Music and Life but also is a party song as produced by Three Upper Class Tanzanian Different's Producers Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch . This is the second collaboration of Darassa and Ben Pol after four years Since " SIKATI TAMAA "
The Music video was shot in Tanzania as Directed By Hanscana
LYRICS
Wameota mapembe waongezee mkia na ukinibeep nakupigia
let me make one thing clear, blah blah blah sitaki kusikia
sio simba,sio chui sio mamba sauti yangu inatosha kujigamba
na sina maneno kwenye kanga kazi juu ya kazi yaani Bumper to Bumper
mzaa unaweza kuzaa kizaazaa si eti unafegi uchome kibada
ulale uote ndoto zako za kitanda, sisi bado tuko macho mida ya wanga
funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga ,tunasemanga chambua kama karanga
maisha na muzuki acha maneno weka muziki
chuga unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
bambata, shika kamata, kumba shakata
ako kamchezo shadata shadata aaaah
unataka kukimbia na hauna break, what do you expect
bongo congo upata break cheza lukasa ya bongo uwezi kumake
watch yourself usije ukajiconfuse msupa wa kuruka reggae kwenye blues
una mchuuzi no excuse, maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu zingine havitangagi ujuaji utajikuta unatandikia wati chamvi
kusubiria embe chini ya mnazi ,kumwelewesha chizi utajipa kazi
funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga ,tunasemanga chambua kama karanga
maisha na muzuki acha maneno weka muziki
ukiwa sad, ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
safari na muziki,acha maneno weka muziki
kibao unachopenda na ukitaka cheza muziki
wanatamani tupotee kwenye map,tunapeleka game kwenye top top
ishara tosha we dont stop stop dont stop, we dont stop X2
a
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteRudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta
ReplyDeleteWanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia
An let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia.
So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaani bumber tu bumber
Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga
Funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga tunasemanga chambua kama karanga
Maisha na muziki acha maneno weka muziki..., Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
(Yeeeeah)
Safari na muziki acha maneno weka muziki
(Yeeeah)
kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
Bambataaa shika kamataa
Pumba chakacha napokaa mchizi nshadataa nshadataaah
Unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect???
Bongo Congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make.
Watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues.
Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
Vitu vingine havitakang ujuaji utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi.
Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba.
Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga.
(Uwiiiiiii)
Rpt chorus...
“I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"— Darassa feat. Ben Pol
Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top
I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"