[Chorus] x2
[TID]
What I need from you is understanding
Nachotaka toka kwako maelewano
Ugomvi kila siku na maneno
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[TID]
What I need from you is understanding
Nachotaka toka kwako maelewano
Ugomvi kila siku na maneno
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[Lady Jay Dee]
All I need from you is understanding
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
All I need from you is understanding
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
[Verse 1]
[TID]
Mama, mama, nimeshakuoa
Acha mumeo nikatafute pesa
Shida gani inakusumbua?
Kama chakula nimeshanunua wowowo
[TID]
Mama, mama, nimeshakuoa
Acha mumeo nikatafute pesa
Shida gani inakusumbua?
Kama chakula nimeshanunua wowowo
[Lady Jay Dee]
Shida yangu si chakula
Wala shida sio pesa
Mapenzi yako wapi ulonipa mwanzoni?
Mbona umebadilika? Tena hauambiliki!
Nani anakuzingua? Haueleweki wewe!
Shida yangu si chakula
Wala shida sio pesa
Mapenzi yako wapi ulonipa mwanzoni?
Mbona umebadilika? Tena hauambiliki!
Nani anakuzingua? Haueleweki wewe!
[Chorus]
[TID]
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[TID]
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[Lady Jay Dee]
All I need from you is understanding (understanding… standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
All I need from you is understanding (understanding… standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
[TID]
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (no no no no)
Ugomvi kila siku na maneno (maneno)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (no no no no)
Ugomvi kila siku na maneno (maneno)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[Lady Jay Dee]
All I need from you is understanding (understanding)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (kwanini eh?)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
All I need from you is understanding (understanding)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (kwanini eh?)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
[Verse 2]
[TID]
Acha acha, acha kunisumbua
Nina haraka, rafiki waningoja
Niendapo kamwe wewe hapakufai
Mke wangu tulia nyumbani
Acha wewe kisirani, kurudi leo nitawahi
[TID]
Acha acha, acha kunisumbua
Nina haraka, rafiki waningoja
Niendapo kamwe wewe hapakufai
Mke wangu tulia nyumbani
Acha wewe kisirani, kurudi leo nitawahi
[Lady Jay Dee]
Kila siku we sababu kurudi hapa usiku
Ukirudi taabani, maisha gani jamani!
Mbona waume wengine waenda na wake zao?
Rafikizo na wake zao, wewe mwenzangu na nani mwingine?
Kila siku we sababu kurudi hapa usiku
Ukirudi taabani, maisha gani jamani!
Mbona waume wengine waenda na wake zao?
Rafikizo na wake zao, wewe mwenzangu na nani mwingine?
[Chorus]
[TID]
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[TID]
What I need from you is understanding (understanding)
Nachotaka toka kwako maelewano (maelewano)
Ugomvi kila siku na maneno (oh no)
Nimechoka ah! Nataka maelewano
[Lady Jay Dee]
All I need from you is understanding (understanding.. standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
All I need from you is understanding (understanding.. standing)
Kwani kila ifikapo mwisho wa wiki (mmh yeah)
Vitimbi, vitimbi, vitimbi na mikiki
Ndio sababu uuh usitoke na mimi
No comments:
Post a Comment