Thursday, 14 July 2016

STILL A LIAR LYRICS BY WAHU


Verse 1

Nakumbuka chali mmoja akinikatia

My dear you know that you are my number one


Sikujua kulikuwa na number two, number three and number four

[Dunia ina mambo]

Siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita

Lakini game yake haijakatika no

[Dunia ina mambo]

Juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh

Tabia ni zile zile (x4)
CHORUS

Still a liar

You’re just a little older (still a liar)

Miaka sio shida (still a liar)

Sugar daddy liar (still a liar)

[Dunia ina mambo]


Verse 2

Mbona mzee hutulii nyumbani kwako

Usome gazeti

Ule chakula cha mkewe au

Ukapewe na wazee wenzako who

[Dunia ina mambo]

Vunja mifupa kama meno bado iko

Ooh lakini kufukuzana na watoto ehh

Acheni aibu ndogo ndogo ooh

[Dunia ina mambo]

Mpaka achoke mpaka aseme game shoti [game shot]

My sister usijienjoy eeh

Tabia ni zilezile



CHORUS

Still a liar

You’re just a little older (still a liar)

Miaka sio shida (still a liar)

Sugar daddy liar (still a liar)

[Dunia ina mambo]


Verse 3

Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia

Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia

Mwenye heshima ya watu wote eeh

My dear usiwachilie eeh

Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia

Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia

Mwenye heshima ya watu wote eeh

My dear usiwachilie eeh

Na mikono yote, shikilia

Usiwachilie, shikilia

Usiteleze, shikilia dada

Shikilia wewe, shikilia

Na mikono yote, shikilia

Usiachilie, shikilia

Usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia


Still a liar

You’re just a little older (still a liar)

Miaka sio shida (still a liar)

Sugar daddy liar (still a liar)

[Dunia ina mambo]

No comments:

Post a Comment