Thursday, 14 July 2016

SITISHIKI LYRICS BY WAHU

Verse 1

This man think he's a Casanova

This man think he's an operator

Why lie the man he is fly but

Mambo yako yaboesha

Showing off with his fancy cars

Showing off with his fancy house

Kosa lako kosa ni moja

Wafikiri wanitisha

Sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi

Sitishiki sizubai hizo hela zako hazi..

CHORUS

Sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Sizubai hunizubaishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Verse 2

Anicheki chini na juu asema I'm fine

And sexy too so he buy me a drink or two

And expect me to go home with you

Songa nyuma take a good look

Songa mbele pole pole

Chunga brother usiteleze

Skiza basi nikueleze

Sitishiki sizubai hizo hela zako hazitishi

Sitishiki sizubaihizo hela zako hazi...

CHORUS

Sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Sizubai hunizubaishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Sitishiki wewe hunitishina hizo hela zako

Hazinitishi

Sizubai hunizubaishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Verse 3

My girls in the disco my girls on the radio

My girls if you hear me why don't you say so

My girls in the disco my girls on the radio

My girls if you hear me why don't you say so

My girls in the disco my girls on the radio

My girls if you hear me why don't you say so

Sitishiki wewe hunitishi na hizo hela zako

Hazinitishi

Sizubai hunizubaishi na hizo hela zako

Hazinitishi 

No comments:

Post a Comment