Tuesday, 19 July 2016

MAWAZO LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga

Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover

utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua

licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [...mhh mawazo]

Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [....mmh kikwazo]
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [.nipunguze mawazo.]
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [...nna mawazo]

Nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu

ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani..... mwenzenu nalia na moyo wangu!

kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia

kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [...uhh mawazo...]

Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [...oh kikwazo..]
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [....mawazo]
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!

ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua

licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua

No comments:

Post a Comment