Saturday, 9 July 2016

KIOO LYRICS BY JAGUAR

 1, 2 maisha nikama safari ni safari, hakuna ajuaye kesho itakuaje

najiangalia kwa kioo, kioo X4

Maisha nikama safari na yangu ishang'oa nanga
Tuna siku mbili muhimu ya kuzaliwa na ya kuzama
Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya kuzama kutoka duniani
wanaongea sana na hawajui kule nimetoka

wakisema nadidimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
wakidhani nadidimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao

CHORUS
najiangalia kwa kioo, kioo,kioo
najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo

Nimetembea pote duniani nimepatana na wengi duniani
kuna wale wananieleza ukweli wengine wananidanganya
wengine hawalali wakitaka kushindana nami
hawajui kule nimetoka hawajui yale nimeona

wakisema nadidimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
wakidhani nadidimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao

Chorus.
END.

No comments:

Post a Comment