Wednesday, 13 July 2016

HATURUDI NYUMA LYRICS BY KIDUM



Mpenzi, mpenzi

Mpenzi wewe (wewe)

Mpenzi wewe mpenzi wewe

Mpenzi wewe mpenzi wewe


Verse 1
Nieleze vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe
Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe
Kama ni ukweli, yale nasikia kwa majirani
Ya kwamba utakuja kwenda zako
Uliniahidi, tutakuwa tukijadiliana
Na maswali yangeleta utata
Kwa nini chinichini
Unanificha yanayokusinya
Lakini unayosema, ni majirani
 Kwa nini kando kando
Unanificha yanayokuudhi
Lakini unayateta kwa marafiki
Ukiniacha mi ntalia
Ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua
Uoga ni lao, kukupoteza
Ndio nasema, baby

CHORUS
Nakuomba please ubaki nami Nasema penzi
Nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi
Ya kuanza tena Tunayo nafasi
Ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Juliana wee
Verse 2

watu wanasema kama karibuni wee unaoa tena

ya kwamba nianze kujipanga si ukweli, nimekataa

ni tahadhari kubwa kwangu, na unanitisha

sijui nimekosea wapi uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani

ni muhimu kuliweka wazi Ni kuki shenge

Uguma buri gihe umbabaza Kandi uzi ko ngukunda

Ni kuki rukundo Uguma untera umujinya Ukica amatwi ngukunda


Ukiniacha mi ntalia Ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua Uoga ni lao, kukupoteza
Ndio nasema, baby


CHORUS
Nakuomba please ubaki nami Nasema penzi
Nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi
Ya kuanza tena Tunayo nafasi
Ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Juliana wee

No comments:

Post a Comment