Picha ninaanza sharata
Picha ninaanza shawaka
Picha ninaanza nishachanganikiwa
Picha ninaanza sharata
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi ninavyomwangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Kwa nyuma ananipa mineso
Moyoni ananipa mateso
Wa kishua ila matendo ya ghetto
Mtamu na hapendi vya dezo
Nakula kwa macho, 5 star girl si mchezo
Ebu ona, ebu ona
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Diamond
Aaah ana rangi flani ya kimanga
Lugha lafudhi ya kitanga
Usiombe akapita na khanga.... wow!!
Nyuma figisu majanga
Ana mwendo wa kugonya! Tena alivyoshona! Umbo kama katuni wa kuchora......
Aah Singida Dodoma! Kitandani Sodoma
Kiuno kama nyuki Dondola....
Maneno ya watu sumu yana hila....., wasije leta urefaree ka mpira
Chunga katu usije ukanzira..... ukashikwa na uchizi utajira
Mtoto mukiri (mukire)
Mpaka anaishigidi (shigide)
Hasa akihikidi (gidire)
Yeye ndo mama chivuri (chivuree)
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Too sexy... to sexy (ya man)
Boujé boujé (di ya man)
Mungu ameumba hapa (ya man)
Natamani nikaseme naye (ya man) ×2
Naamini amezaliwa, ili mimi niwe nayee..
Mpaka sasa nimechanganikiwa, mpaka yeye awe nami eeeh
Mtoto yani mukiri (mukire)
Mpaka anaishigidi (shigide)
Hasa akihikidi (gidire)
Yeye ndo mama chivuri (chivuree)
Naamini amezaliwa, ili mimi niwe nayee
Mpaka sasa nimechanganikiwa, mpaka yeye awe nami eeeh
Iwe iwee iwee, iwee iwee hii ndoto
Mtamu mpaka utamu umebeat giza, ukikaa na wengine wanachukizwa
Shipeleke (Di ya man)
Ngoja niogeze (di ya man)
Popote ilizae yangu (di ya man)
Nikapige mazirae (di ya man)
Nakula kwa macho........ kwa macho ×3
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
No comments:
Post a Comment