Thursday 14 January 2016

Sweet love lyrics by Akothee ft Diamond platinumz

You know sina ujanja, kwako nimeishona kinywa baba kwako sise(sisemi)
And you know, macho yangu kwako jeuri sina baba, kwako sihe(sihemi)
Wasijekuteka virembe, nami ukaniacha kizembe
Wakati we shamba mi jembe (you are my sweet love)
Kama upendo nyumba tujenge, nitakushonea shati kitenge
Kwa mama si twende (you are my sweet love)
Imara baby oka biwei nyakachee ×2



 (CHORUS)




  Diamond
Sikuizi upendo karabai zinga upepo wasituzimie
Wakati wa vitina binadamu si unawajua, wengi walaghai
Wasije kesho wakaniibia changamwe, venye uwezo sina nikabaki naugua
Mangapi walishazusha tuzonge
Mangapiii lengo waninyang'anye tonge 
Ooh mangapi yakachinja na ng'ombe kiko wapi siofande tutishilie zombe

Kwa pilipili nauwashia nini, sirisiri yetu wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana ×2



  (CHORUS)
Kwanza pilipili yawaashia nini, sirisiri yetu wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana ×2

No comments:

Post a Comment