Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Verse 1 (Nameless)
Ninamshuku Huyo dame supuu
Amenipa juju Namwota kila siku
Nikimwona Nashikwa na kifafa
Naanza kuropokwa Siwezi kusikika
Seniorita Take me to your leader
I can be your slave And you my mamasita
Na hiyo juju Umenipa ni ya nguvu
Siwezi kujitibu Nimerogwa nayo voodoo
CHORUS
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Verse 2 (Nameless)
Nimeshachizi Nipeleke 'spitali
Nione dakitari Anipe tembe flani
Nikimwona Nashikwa na kifafa
Naanza kuropokwa Siwezi kusikika
Ninawika Oh mama mia
Nipe mi malkia Mapepo zafifia
I need an antidote Namwota kila siku
I need an antidote Ameroga nayo voodoo
CHORUS
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Verse 3
Kama nimechizi Nimerogwa
Na huyu manzi ameniwai
Kama ninanoki Nikicheki
Huyu manzi na mini shorti
kama nimechizi Nimerogwa
kama nimechizi Nimerogwa
Na huyu manzi ameniwai
Kama ninanoki Nikicheki
Huyu manzi na mini shorti
Na sasa nimeamua ya kwamba
Mimi nitaenda Kuona witchi dokta
na sasa nimeamua ya kwamba
Mimi mr. Lenny Ntaona witchi dokta
CHORUS
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju, oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi.
No comments:
Post a Comment