Wednesday, 2 November 2016

BAZOKIZO LYRICS BY COLLO X BRUZ NEWTON


  Celebrated as COLLO Mfalme, Swahili rap maestro Collins Majale who appears as a pioneer on Kenya’s wall of fame & local music scene dating back from the group Kleptomaniax has dropped a fire dance tune! The sizzling hot DANCE track titled BAZOKIZO, features Bruz Newton. Recording and engineering was done by Jack Maina (Jack on the Beat) at Pacho Entertainment Studios.


Lyrics

Ilibidi niokoke ndio niwashe jiko, siko kwa canality juu niko ridho
ulimi bado rive risasi zipo mistari bado kali na mezani zipo
silabi simple kama aeiou, rudia mara twice aeiou
kati chini na za improtu subiri usichizi

Two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tusikwende tukislide
we can hook it through the night
Thank the Lord that am aliveX2

kabeat kakidrop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo


Wanauliza collo kwani ulienda, wengi hawajui nishabanduka
kama shujaaa nilipata rufaa juu pasia za ekalu zilishararuka
kumbe apa siri ni kuchangamka sasa anga zangu chonjo ninatambaruka
mi nina Yesu nilijanjaruka kutoboa hii maisha ya panda shuka


Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo x4


kabeat kakirop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokiz0 x4


lets move to right move back to the left
kila mtu anafollow  usipodo uko solo X2

Two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tusikwende tukislide
we can hook it through the night
Thank the Lord that am aliveX2

kabeat kakirop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokiz0 x4

a

2 comments:

  1. praise The lord I am blessed by that song

    ReplyDelete
  2. The lyrics has so many errors...whoever did these lyrics next time take your time to listen carefully to the words

    ReplyDelete