Tuesday, 14 August 2018
SIKUPENDI LYRICS BY RAYVANNY
Sikupendi… (hmmmm)
Sikupendi… (aaaahh)
Sikupendi… (eeeehh)
Sikupendi (Max Maixer)
Sikupendi
Kichwa wanipasua
Unanichapa fimbo
Moyoni napata tabu
Unajishaua unamalingo
Kama una sura ya Dhahabu
Ni miaka sasa nakufata
Ndala zangu zote umekata
Kutoka tegeta hadi tabata
Mpaka visigino vimechacha
Mara nasikia kuna bakari kinyozi
Ulishampa Hadi kaka yake Rose
Kwani we ni pilipili unitoe machozi
Nikikufata waniletea mapozi
Mapenzi uvumilivu unajua
Ila kwako nimeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua
Basi mama we ndo Bima
[HOOK]
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)
Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu
Kila mambo nikiset
Nimegeuka mlinzi nyumbani
kwenu Kila siku kwenye geti
Nilikufata mpaka kigogo
Kwenye shughuri yake mama Asha
Modo Ukanitukana matusi nina shobo
Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo
Akanitimba migumi kede kede
Nikawa mjinga tena bwege bwege
Kama nimetinga pombe bege bege
Alinishinda nikawa lege lege
Heee eeeh Nakata tamaa kuwa nawe
Nikirudisha kumbukumbu
Nilipo kuona na masawe
Kwenye guest ya manungu
Ulifanya nipagawe
Kwa mawazo na uchungu
Nilikesha nje oh mama wee
Nikawa chakula cha mbu
Mapenzi uvumilivu
unajua Ila kwako nimeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua
Basi mama we ndo Bima
[HOOK]
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi) a
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Verse 1 Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nis...
-
[Chorus] Watu walishachonga sana Eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana Kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss, hug si...
No comments:
Post a Comment