Mwili
umejaa vidonda donda ,Kisa kupenda aah
Naitwa
bwege, naishi kwa kuonga onga
sabuni
chooni namaliza mimi
kwa nini
jamani
kama
mwajuma
nilimpa simu, cha ajabu kanipora
salima
hataki mapenzi, anataka pochi
magugu
avelina
baada ya
kumpa gari, eti hanitaki
nguvu sina
eeh woololoh aih
bora nife,
huenda
nitakumbuka pengine mmh
bora nife,
huenda
nitakumbuka pengine ai
kwani
nasubiri nini duniani, nasubiri nini
kwani
nasubiri nini duniani, nasubiri nini aaih
BAHATI
Ai
niliempendaga mwenzagu, Akaumiza roho yangu tu
Kaniwazisha
niwe padre, Nihudumie kanisani
Aah aaah
Nikaongopaga
mapenzi tu
Tena usiwe
unasumbuka, Kutoa uhai
ASLAY Ya
nini
BAHATI
Usije
mlaumu aliyekuacha zamani
ASLAY
Zamani
BAHATI
Ukikata na
roho, Utajibu nini
Siku ya
kihama, Kama dayana
ASLAY
Nilimpa
simu cha ajabu Kanipora
Penina
hataki mapenzi, Anataka pochi
Mamaivana
baada ya kumpa gari Eti hanitaki
Nguvu sina eeh
woololoh ai
Bora nife,Bora
nife
Huenda
nitakumbuka pengine, Labda nitakumbuka ai
Bora nife,Bora
nife
Huenda
nitakumbuka pengine, Labda nitakumbuka ai
Usiseme
usiseme
nasubiri nini duniani, Nasubiri nini duniani
usiseme
nasubiri nini duniani, Nasubiri nini duniani
Japo
ujaniwishigi Kwenye birthday yangu
Ila usikose
mazishi, Kwenye msiba wangu ooh
Japo
ujaniwishigi, Kwenye birthday yangu
Ila usikose
mazishi, Kwenye msiba wangu ooh
a
No comments:
Post a Comment