Thursday, 19 October 2017
MAPENZI HISIA LYRICS BY OTILE BROWN
Song : mapenzi hisia
Artist: Otile Brown
Song producer: magix enga
Video director: X antonia
LYRICS
Verse 1
Tunapendeza pamoja,Nidhairi
Tuliumbwa tuwe pamoja,Baby
Nasisi uwaga pamoja,Daily
Na kama kando yake hukuniona
Jua siko mbali.
{Mana me kivuli chake Ye
Haendapo nami nakwenda Eeh
Haijalishi huendako wapi Bae
Nishike mkono twende sote Bae}x2
Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia x2
Haijalishi wampenda nani erela erela
Haijalishi wapenda nani erela erela
Basi niambie unampenda nani erela erela
Shout jina lake hadharani mmh mmmh
Verse 2
Iwe anafanya Mjengo
Makanga au Sogi
Almradi anakuridhia moyoni
{Awe Mvuvi au Bodaboda
Kupata au Kukosa ni majaliwa
Awe Seremala au Muuza mboga
Kupata au kukosa ni majaliwa} x2
{Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia} x2
Bridge
Me almradi unanipenda baby
Almradi unanipenda mama
Almradi unanipenda, unanipenda
{You know, you know…that
I’m crazy over you you,kila nikikuona
Roho yangu juju
Wanasema eti umenipea juju
Ooh Girl am crazy over you uuh} x2
{Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia} x2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Verse 1 Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nis...
-
[Chorus] Watu walishachonga sana Eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana Kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss, hug si...
No comments:
Post a Comment