Saturday 2 September 2017

PUSHA LYRICS BY ASLAY

SONG: PUSHA

ARTIST: ASLAY

Tonee Blaze

East And Central Africa Leading Music Video Director

  LYRICS

EH Ushawasha, mimi nina stress zimejaa kwenye kichwa,
mh, sogeza kiti kaa, nikueleze machache yaliyonikutaa,
kuna kijana ananisumbua sana
mke wangu raha hana, nyumbani amani hakuna.

asidhani mimi nimkimya sana, mwenzangu naumia roho yangu,
isije baadae mi kupata lawama, nikaharibu cv yangu.

mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
nasema mwabieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae.
eh mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
anapita kibarazani nguo kashusha makalioni
anajifanya yeye muhuni, mwenzie tulianza tisini,
tutabadilishana majengo ya serikalini aaaa
mimi niende jela yeye aende monchwari aaa

asidhani mimi nimkimya sana, mwenzangu naumia roho yangu,

isije baadae mi kupata lawama, nikaharibu cv yangu.

mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
nasema mwabieni ama zake ama zangu nitakufa nae,
mkimwona mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae.
eh mwambieni ama zake ama zangu nitakufa nae
aiyo aiyo aiyoyo
huwa sipendangi zarau
aiyo aiyo aiyoyo
mwambie anajisahau
aiyo aiyo aiyoyo,
tutachukiana mama
aiyo aiyo aiyoyo
tutapena lawama sana

a

No comments:

Post a Comment