Song written by Diamond Platnumz
The beat was produced by LIZER CLASSIC from Tanzania from Wasafi Records
The Video was shot in Johannesburg, South Africa by NIC
SONG: I MISS YOU
LYRICS
hello hapo vipi sijui unaniskia
hello nina maneno natamani kukwambia
hello tafadhali usije nikatia
hello ona mpaka nasahau kusalimia
habari gani leo nimekukumbuka sana
na mama yangu twakuwazagaa
vipi nyumbali hali ya mumeo na wana
na aunty shani wa chimwagaa ha ha
kile kidonda changu cha roho bado kinatia tabu
ninajitahidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu
tena silali oh nasubiri maajabu
maumivu yangu hayajapata dawa
i miss you nakumbuka iyeh iyeh
i miss you nakumbuka iyeh iyeh
i miss you nakumbuka iyeh iyeh
i miss you nakumbuka iyeh iyeh
ah roho yangu mama bingili bingili
ah nikikuwaza bingili bingili
nikisinzia bingili bingili bayoyo
oh nikilala bingili bingili
ih inama inuka uwoh bingili bingili
uku sina raha bingili bingili bingili bayoyo
ah iyeeh ah iyeeeeh
tatizo kwetu sijui nini kosa langu
mpaka nikawa adui ghafla ukanichukianga
nawaza ila siambui ama shida zangu
simba nikawa chui mi roho inaniumanga
yawezekana ahadi zangu zisizotimia
ndio maana haukutaka kusubiria
nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
chai mchana usiku dona kurumaghia
nilitamani sana ila wangu vyangu palinishia
ningalikua na uwezo ningekutimizia
mingali unafuraha haya maumivu nitayavumilia
ila jampo niambie ivi unanifikiria maana eh eeeh
nakukumbuka iyeh iyeh nakukumbuka sana ooh
i miss you nakukumbuka iyeh iyeh nakukumbuka sana ooh
i miss you nakukumbuka iyeh iyeh nakukumbuka sana ooh
ah roho yangu mama bingili bingili
ah nikikuwaza bingili bingili
nikisinzia bingili bingili bayoyo
oh nikilala bingili bingili
ih inama inuka uwoh bingili bingili
uku sina raha bingili bingili bingili bayoyo
ata nikila bingili bingili
nikikuwaza bingili bingili
nikilala heeh bingili bingili bayoyo
ah roho yangu mama bingili bingili
ah nikikuwaza bingili bingili
nikisinzia bingili bingili bayoyo
heeeh roho yangu mama bingili bingili
eh eh eeeeeh bingili bingili
eh eeh heeeh bingili bingili bayoyo
oooh roho yangu mama bingili bingili
ih inama inuka uwoh bingili bingili
ajabu sina raha bingili bingili bingili bayoyo
ah ata nikila
a
No comments:
Post a Comment