Friday 9 June 2017

ANGEKUONA LYRICS BY ASLAY

Mmm yee mmm eeh nono yeee mmh

Yani raha hata tukilala na njaa kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa unang’aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eeh kama maji kwenye mtungi baby nitakulea eeh ili mradi unipe heshimaa
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana

Ooh I wish angekuona maaa mama angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa mama angefurahi mama maaa mama

Navyo mjua mama angekupa vitenge tena bila iyana na kikapu cha embee
Ana viwanja mamaa agekupa ujenge na ukirudi kwangu upate mwango wa chang’ombe
Umeondoka mama imekuja zawaadi nabaki nalia nalia sina budi
Fikra tupa mwana naogopa dhambi ila nakuombea ulale pema kwa bosi tuliaaa

Kama maji kwenye mtungi baby nitakuleaa eh ili mradi unipe heshima
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana

Ooh I wish angekuona maaa mama angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa mama angefurahi mama maaa mama

Wuwuwuwu uuuh…maaa mama mamamama… maa mama
I wish angekuepo mama maaa mama nonononono… maa mama
Uko wapi mama mamamamamamamamamama…nakukumbuka mi mwanao
Eeeh maa mamaa maaa mamaa

No comments:

Post a Comment