Monday 8 May 2017

HAPPY BIRTHDAY LYRICS BY HARMONIZE



 SONG:HAPPY BIRTHDAY

ARTIST: HARMONIZE

LYRICS

Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza)
Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa
Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia
Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
Happy birthday
Happy birthday to you X4
Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng’ombe au malewa
Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua
Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
Happy birthday
Happy birthday to you X4
Kata keki kata (kata) oh kata (kata) kata (kata) kata unilishe
keki ya jina lako (kata) walishe na wenzako (kata) tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe
Oh basi kata (kata) oh kata (kata) kata nipone (kata) kata (kata unilishe)
Kata … Kata…Kata…Kata unilishe
Ah na kapicha kako nitakoposti

No comments:

Post a Comment