RedREPUBLIK 2017 The Kansoul Official Video
Mejja Maddy and KidKora are back on a hot dancehall tune.
The track is called Bablas, which is sheng for Hangover.
Produced by Maddy and KidKora, and concept cooked by Mejja,
this track demonstrates the monstrous trio that is THE KANSOUL! Play, Share
LYRICS
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
ikiwa imeshika niskie eh eh eh
wacha niende take lewa
eh eh he niskie eh eh eh
i need an ambulance
i need a gyal dem
rewind selector pon de anthem
teach me a dat a to come on de floor
coz this gal a feel dat she murder she wrote
no woman no pantie me say dat before
am high and you are high but we want some more
me hand on your waist and my stick on your gram
teach me teach me coz you are number bum bum eh
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Niamke kesho na mabablas
ikiwa imeshika niskie eh eh eh
wacha niende take lewa
eh eh he niskie eh eh eh
Jana nilikua na shida mingi
nisha zisort niko eazzy
leo nakunywa ndogogio
mie lazima leo nikunywe ndogogio
dunda niliingia na miguu
nataka nikitoka wanibebe juu juu
leo ni siku yangu ya kamnyweso
ka hujui ni okwonko
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
nataka nilewe waite ambulance
sina time for rest uku si karura
niko papers jamaa leo ni kurarua
kuzurura buda unanitambua
niko famous kuharibu uliza kafula
eeh kwani jana nilivuruga
amelala juu yangu buda ruhuzas hio lungula
nipeleke Ruunda juu sina Huruma
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Niamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Nataka nilewe waite ambulance
Niamke kesho na mabablas
Niamke kesho na mabablas
ikiwa imeshika niskie eh eh eh
wacha niende take lewa
eh eh he niskie eh eh eh
Taka nilewe waite ambulance
ReplyDeleteNiamke kesho na mabablas
Nikunywe supu niskie fambulas
Hangie ikiisha tena repeat repeat
Ndogogio ni nini?
ReplyDelete