King Kaka tells his story which is a story of so many men who are in the streets trying to make ends meet so that they can provide a better life for their families.
King Kaka Performing Thug Love
Introducing Yviona
Produced By RiccoBeatz
Directed By Johnson Kyalo
Chopped By Yo alex
Recorded At Shaash Records, Nbi. Ke.
A Kaka Empire Presentation 2016.
lyrics
Hello hello hey babe mambo nakam, please mazee nakam
acha tu nimalizie kitu nakam, please nakam
hello hello aaah mazeee
why are you always on the streets
or money name money name did you forget about me
now am keeping up night shifts
now am keeping up night shifts X2
i love you mum pia napenda sana mtaa
siwezi kuruka ata nipewe ngapi mita
wewe ukona yangu roho yeye akona zangu doo
young love every minute Genesis ni Roysambu
nitarudi home mapema sio lazima unipe mboo
si unajua sio lazima mpishi awe mrembo
na viatu all i know ata simu ikiwa off na crime kwa izi mitaa
ndio tuishi maisha posh so considerate bado unanifunikianga sembe
we ni 1 times forever, forever my tembe, nikona alama za pingu
na haziwezi isha babe nifunge zile pingu za maisha
morning daily uko pande yangu ya kushoto wcw unajaza photo
nilishinda loto ebu checki uyu mtoto alinikindia wakati niko msoto
why are you always on the streets
or money name money name did you forget about me
now am keeping up night shifts
now am keeping up night shifts X2
caterpillar ni ugly saa hii goja uone butterfly
umekeep it true route eleven kabla niwe na dae
Dely uko kwa kichwa yangu kaa durang**
ndio ostrich's zinanipenda but yako ni true love
niko kwa kona yangu nimeenda kidogo commercial
niko mteja juu worried pia cops wako macho
ati doa itanitie nivae tie 925 argument yangu iskize
pia iko na two sides, twende Dely tusign
najua your shoe size, hao madem hawadish uko
hawaezi dish uku, am tag tied half tied
usiwahi jishuku naspent time mob kwa mtaa time less na wewe
watatutaja kwa love tuko timeless na wewe
you never get jealous nikichill na mafellers
saa hii nasaka cheders ndio tuishi better
later they will tell us, they will be jealous
why are you always on the streets
or money name money name did you forget about me
now am keeping up night shifts
now am keeping up night shifts X2
like babe unajua kwa nini nafanya hii yote yaani
coz umekua na mimi tangu day one and i dont want to let you down
yaani unaelewa thats why am in the streets natafuta maisha poa
i mean you are so beautiful yaani i want the best for you
i want the best for my kids for our kids nataka tuishi
maisha ile si uongelelea si ndio so
just allow me niishi kwa streets for a bit,
am about to bring you trhe life that we all dream
si ndio and one thing yaani this is Thug love from me to wewe
let me go kidogo tu yaani, i got you , i got you babe . i got you babe
dont ever doubt it ....King kaka
a

Ww ni baba
ReplyDelete