Tuesday, 8 November 2016

IROMO LYRICS BY SUDI BOY & TIMMY TDAT


  
  Performed by Sudi Boy and Timmy Tdat.
Audio produced by Teddy B.
Video directed by Young Wallace.

LYRICS

kama unanipenda si unishow, mimi nakupenda na nano
yaani ni sasa tuvunje roho, ambia sudi boy ako store

unafaa kuwa na mtu ako store achana na Timmy ata ku aaah

njoo nikupe mapenzi moto, ooooooh

mmh mi leo nimepata mke juu ya manzi
lord mi najua unampa danti
lord iliuma niakableki danci
lord iliniuma nikaslap out

donge aneno kiromo, aneno kiromo
donge aneno kiromo,ata kama vipi shape yako ni noma x2

sweeeet mbona unanitesa
sweeeet mbona unanitesa
sweeetie mbona unanitesa mama my life

hey nimeteleza nimefall in love
ma dungu zako even in law
nimevunja nimebreak hio law
siniache chini usiniache solo

kwako nishabwanga manyanga
wacha nikuite kinanda
penzi liwe bivu lisiwe changa
twende chini twende juu juu kwa anga

donge aneno kiromo, aneno kiromo
donge aneno kiromo,ata kama vipi shape yako ni noma x2

achana na uyu mjinga aaaah
twende kasabuni 
nivute nikuvute mama

aaaiih eeeh hehe
aaaaih eeeeh hehe
ata kama vipi hio shape yako ni noma 

donge aneno kiromo, aneno kiromo
donge aneno kiromo,ata kama vipi shape yako ni noma x2
a

6 comments:

  1. Replies
    1. Guys..timmy involved his native linguistics in that song,so definately the lyrics are biased n inaccurate.

      Delete
  2. "donge aneno kiromo....aneno kiromo"...something like that.. he sang luo ..not indunga neno kiroho....very in accurate

    ReplyDelete
  3. I don't think there is akinyi or mjinga or store, in the song i suppose its Achana na timmy ataku aaah aaah,,, Achana na huyo tdat,,,, ambia sudi boy acoastal unafaa kua na mtu wa coastal

    ReplyDelete