Wednesday, 9 November 2016

DUS NYAU (USINIKAZIE) LYRICS BY TIMMY TDAT


 LYRICS

TTTT-DAT

Sir God generous kujazia ka diaper
we mchoyo unanikazia ka Biker
(Tulia) ntatuliaje unaniwasha kalighter
Nipe tu nipige freestyle ka cypher
ati lips zako Kissable
tongue yako lambable

TTT TIMMY T DAT
ka sabun, ah Cedo
na tuko tu Pacho
kwani boss iko nini?

Jaber eeh wacha nikushow
macho zako spinable
ngozi yako durable
ukipika chakula yako kulable
na ukipika kashingo tunavunja ooo

sijui nikuite mortuary vile unamurder
butchery vile unanyama
kwa hii traffic wee ndio una
una terrorise memory
kwa akili ushakwama

kupigwa mi ndio stick
kaselfie mi ndio stick
nimegrow apa nai apa kwa street
mi ni chokosh nina glue
Baby wacha nistick

usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh
usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh

mi si Dj ma sitakuplay
mi ni calendah nataka nikudate
nina ball na nataka nikugeeeh
shika izi eggs mi nataka nikuleeh

mi si Hussein mami hakuna machozi
Mr. blue eh mapozi
mi mjaka si unapendanga ngozi
oh am kidding tumekua toy
nimeomba sana sa si unipatie
kama kristoff ni dandie
nyakoh ni ber ndong nyase chiel


mi ni T-DAT ah,
usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh
usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh

Sir God generous kujazia ka diaper
we mchoyo unanikazia ka Biker
(Tulia) ntatuliaje unaniwasha kalighter
Nipe tu nipige freestyle ka cypher

TTT TIMMY T DAT
ka sabun, ah Cedo
na tuko tu Pacho
kwani boss iko nini?

Jaber eeh wacha nikushow
macho zako spinable
ngozi yako durable
ukipika chakula yako kulable
na ukipika kashingo tunavunja ooo

Najaribu vako zote nikueleze gyal dem
lakini mi nashindwa nikueleze aje
Tu Dus Nyau , Tu Dus Nyau
Tu Dus Nyau, Tu Dus Nyau

usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh
usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh

usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh
usinikazie usinikazie
usinikazie ma usinikazie
Dus nyau Dus nyau
dus nyau eeeeeh

1 comment: