Rais ambaye unamwona mbele yetu anakuja na shupavu
kwa jina king kaka ndiye mfalme wa mziki nchini kwetu
na anapeperusha bendera yetu dunia kote na tunamsherehekea..
Ahsante...
basi mkaribisheniX3
easlando, basi mkaribisheniX3
dandy, westy, basi mkaribisheniX3
juu up town, basi mkaribisheniX3
254 mr. 254x4
254 mr. 254 men lie women lie *....* numbers dont chilling na watoi wangu wako busy
connect the dots mtaani koma sanasana niko busy nahesabu commas
bado boy mwitu no issues na chipo za altona ulimi inadribble kama suarez na finish ka caltona bado na predict the weather
bado boy mwitu no issues na chipo za altona ulimi inadribble kama suarez na finish ka caltona bado na predict the weather
niite francis ngwata masikini walipata ona matako inaliabwata bado bestia imagine not by best here.imagine wachune maskio watoi nyinyi mmeniskia .
kama ni bars mmeshinda za nairobi west madem naskia kama taribo west mr. alinionea am the best.
kama ni bars mmeshinda za nairobi west madem naskia kama taribo west mr. alinionea am the best.
basi mkaribisheniX3
mombasa, basi mkaribisheniX3
kisumu, basi mkaribisheniX3
nakuru, basi mkaribisheniX3
254 mr. 254x4
mr. mr. 254
kama ni tizi niko ndani kama ngoma za lavidavi
wamenitrust ka mwenye nyumba na mfanyakazi kamekachakacha sana hawa nawachapachapa.
kama ni tizi niko ndani kama ngoma za lavidavi
wamenitrust ka mwenye nyumba na mfanyakazi kamekachakacha sana hawa nawachapachapa.
hatuwezi fanana buda ata tukaitwaa mapacha
na niko ndani ya funny ndani ndani ka alphonce makacha
most videos ni mimi most idiots ni nyinyi.
na niko ndani ya funny ndani ndani ka alphonce makacha
most videos ni mimi most idiots ni nyinyi.
izo pembe zimemea kws kwa kubetray me ,
pilot amewave juu ninajam poff ka korrir
pilot amewave juu ninajam poff ka korrir
bado nakal ex wangu nikona mamodel for rem.
na ......"unclear words".....
na ......"unclear words".....
bado king kaka anatamba.
basi mkaribisheniX3
Tanzania, basi mkaribisheniX3
Uganda, basi mkaribisheniX3
south Africa, basi mkaribisheniX3
254 mr. 254x4
Mr. Mr. 254.
Mr. 254 lyrics by king kaka are property and copyright of their owners.lyrics provided here for music fun.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete