Tuesday, 9 August 2016

Waache waoane lyrics by Chege ft Diamond Platinumz

Maji ya mtoto yamekuwa baridi lalalalaaaa
Hakimu nimekuwa shaidi lalalalaa
wiki ikishusha mateso yamezidi lalalalaa
aloniliza ndo wakunikufariji lalalaaa

Waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

Yamedhibitisha macho
lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho
Ni yule unaona anakufaa

Nilifumba mboni zangu
kwa wengine nimwone yeye tu
Nikamwanga jasho langu
Japo kidogo nile na yeye tu

mwambie awe huru wala sitolalama
ahaaaa ahaaa
sitaki kukufuru wafunge ndoa salama
ahaaa ahaaa

Waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

Anayepanga kugawanya
uanga ni mungu baba
kato siwezi kulalama
riziki ni mafungu saba

Nimejitahidi saana
uenda sikumridhisha labda
ila kinacho nichanganya
hukuniambia labda



Tena nakupa maua wapelekee
Wasije yatupa naomba wayapokee
aah, na suna nitafunga usiku niwaombee
Awape baraka muumba watoto eeehh aaahh

Waache waoane
ohh salimini salama
waache waoane
wawe baba na mama
waache waoane
Tena naaka na
waache waoane
Akusitwa sutwa

Maji ya mtoto yamekuwa baridi lalalalaaaa
Hakimu nimekuwa shaidi lalalalaa
wiki ikishusha mateso yamezidi lalalalaa
aloniliza ndo wakunikufariji lalalaaa

Waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

Japo moyo wangu ... kitete
Moyo wangu ,,,,, kitete
Ni haramu moyo....kitete
Taratibu nitazoea

moyo ...
moyo wangu ...kitete
mwenzenu moyo ...kitete
taratibu nitazoea.

ooh mama moyo ...kitete
moyo hii ...kitete
wangu moyo ... kitete
Taratibu mama eeh haa

4 comments: