Besha shigana lyrics by king kaka.
lyrics
lyrics
swali ni moja tu shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
walala maisha inanibamba wacha nikule kabla nikule pamba,pia promotor na namba ya mananger ye ndie ubonga na akipinga swali tu ni moja shigana besha shigana.uwa sichezi sana na pesa nacheza B-ball ka sio kwa stage utanipata benkiko fanya kazi kwa bidii mi niko club,au tu utaskia nakula life na ajabu shigana besha shigana .
tunapimana mafala wanapigana.
kitu ya maana swali ni moja tu shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
katikati mwezi sipendi vile inaenda nimetengea sana tarehe ifike end month
msupa pia anadai date kwa calenda ndio tutaenda nani atajibu waiter.
shigana besha shigana.
na amekua akisema nimpatie roho vizuri najua pesa sabuni ya roho.si eti mapenzi mbaya kuna matembezi mbaya.wakati wa mari nitaachwa wire.shigaga besha shigana.
tunapimana mafala wanapigana.
kitu ya maana swali ni moja tu shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
swali bado moja shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
sponsor anakupingia sijui hae my dear na wewe story unataka kuskia ni shigana besha shigana,
mmeargue na beshte jana mmekosana leo amekupata mashati mmeshikana shigana besha shigana.
kajo pia ndio hao ujipate tao na ndio utoke kwa ile pick up yao ,
swali tu ni moja shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
swali bado moja shigana besha shigana, shigana, besha shigana,shigana mbesha shingana .shigana X2
swali tu ni moja ah
swali tu moja ah
swali tu ni moja ah
No comments:
Post a Comment