Tuesday, 26 July 2016

Ya moto lyrics by Yamoto band

Kukupenda imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda mi mwana wa mwenzio
Unachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we
Unachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we
Kukupenda nakupenda kweli, ah, sikatai
Uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi
Kukupenda nakupenda kweli, ah, sikatai
Uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi ah
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Aa-ah, ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ni ya moto (ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Ila ni ya moto (ila ni ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)
Nasema mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)
Ale nipe mapenzi ya kweli, sweetie
Ale nipe mapenzi ya kweli we sweetie eh
Nigombane na serikali mama woo
Una kisima cha kijiji nikiwekee uzio oh
Wajua wanitesa mimi mwana wa mwenzio yoh
Chacho, sondombwa sondombwa
Chacho, sondombwa sondombwa
Chacho, sondombwa sondombwa
Chacho, sondombwa sondombwa
Alisema mama upendo ukizidi ni noma, doh
Japo nakupenda sana, ni heri yaishe salama eh
Alisema mama upendo ukizidi ni noma, doh
Japo nakupenda sana, ni heri yaishe salama eh
Ila ni ya moto (ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Ila ni ya moto (ila ni ya moto) mapenzi
Mapenzi ya kitoto mwenzako siwezi
Mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)
Nasema mama we mama (bi guna guna wee)
We nenda zako nimeshindwa mi nasema (bi guna guna wee)

No comments:

Post a Comment