[Intro – Christian Bella]
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Bella posena hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Bella posena hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
[Verse 1]
Nala ng’ombe sasa hivi sili bata
Nikichoka kulala nahitaji kupakata
Wacha wapambe maneno wanoropoka eh
Wakimaliza kunena wataanza kukatika
Tena Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana
Hata kwenye kiza plate number wanaisoma
Wanapiga piga stori kuhusu mimi na wewe
Chumvi zikiisha wanakuja watugongee
Mahaba ee, mahaba ning’ate
Mahaba ee, nizike kabisa ili nipotee

Na kila sababu ya kulinga na penzi lako, honey
Nawapa makavu wenye chuki na pendo letu kwani
Nazunguka nikirudi nasikia yamejaa kibao
Maneno ya kipuuzi watajaza na midumu kibao
Ya ndani ya kwetu we na mi baby wangu eh
Wakose jawabu wenye chuki na pendo letu woh
Wanaleta umbea, maneno ya kipuuzi oh
Wanaleta umbea, lolo, lolo, lolo, loo
Mchawi binadamu, paka anatumwa tu elewa baby
Maneno ni haramu, wanataka kugombanisha mi na wewe

[Chorus w/ Christian Bella]
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)

[Verse 2]
Ni upendo wa dhati unanisumbua
Kukupata bahati nataka tulia
Kukuacha sitaki hata kusikia
Roho tu, yangu roho mama nitaja jutia
Aah mi jogoo nataka koo, popote ulipo
Nitakuwepo popote uendapo
Ni upendo wa dhati unanisumbua
Kukupata bahati nataka tulia
Kukuacha sitaki hata kusikia
Roho tu, yangu roho mama nitaja jutia
Aah mi jogoo nataka koo, popote ulipo
Nitakuwepo popote uendapo
Mmh naiseti seti, naiseti
Mipango bado
Naiseti seti, ah naiseti
Ah, ah, ah, tufanye yetu
Maneno yangekuwa yanatoboa mama ningeshageuka tenga
Wacha waseme waseme sana ninachowaza kujenga
Mipango bado
Naiseti seti, ah naiseti
Ah, ah, ah, tufanye yetu
Maneno yangekuwa yanatoboa mama ningeshageuka tenga
Wacha waseme waseme sana ninachowaza kujenga
[Bridge – Christian Bella]
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Mi nasema pose hakuna (posesanga)
Ale longo hakuna (posese kisanga)
Ale wambea wambea wote
Posa hakuna (posesanga)
Wala longo hakuna (posese kisanga)
Mi nasema pose hakuna (posesanga)
Ale longo hakuna (posese kisanga)
[Verse 3 – Christian Bella]
Mama yee, mamaa yeee
Inawauma na inawachoma sana
Wanaona aibu, ona wote vichwa chini
Kisa tunapendana mama mama mama
Wewe ringa ringa mama, moyo ushasimama kwako
Maneno si shida, umesikia nani kazikwa ah?
Tena ringa mama, kwa kifo sisi tutawazika
Wambea pose lakuna
Mama iye iyee (posese kisanga)
Sema mama ah (posesanga)
Lobi longwe hakuna mama ah (posese kisanga)
Wowowo, wowowo mama eh iye iye iye
Mama yee, mamaa yeee
Inawauma na inawachoma sana
Wanaona aibu, ona wote vichwa chini
Kisa tunapendana mama mama mama
Wewe ringa ringa mama, moyo ushasimama kwako
Maneno si shida, umesikia nani kazikwa ah?
Tena ringa mama, kwa kifo sisi tutawazika
Wambea pose lakuna
Mama iye iyee (posese kisanga)
Sema mama ah (posesanga)
Lobi longwe hakuna mama ah (posese kisanga)
Wowowo, wowowo mama eh iye iye iye
[Chorus w/ Christian Bella]
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo)
Wapambe (usiwape uchochoro)
Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
No comments:
Post a Comment