Sunday, 3 July 2016

VUTA PUMZI LYRICS BY LONGOMBAS


Hiha vuta pumz,wee vuta pumz
Longombas wanafanya mambo
Hiha  vuta pumz
Longomba watetemesha
Avu avu avuta pumz
Jamani nisikilizeni,eeeh
Mnisikilizeni,ah X2

Kuna wanawake warembo
Wenye marasa na mapaja na weupe
Ni wazuri kinyama
Jamani nisikilizeni,eeh,mnisikilizeni,ah
Jamaninisikilizini,eeh,mnisikilize,yeye kuna wanaume wengi
wenye vifua,warefu,wenye nguvu na ni wazuri kinyama lakini
tujichungepengine wanayo mdudu wana wana wanatuacha wana
wana wanayo
Hiha vuta pumz,we,vuta pumz,hiha,vuta pumz,we ,vuta pumz

          CHORUS
     Usimuone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
    Usione amerembeka ukadhani umefika
    Usimuone ana pesa ,ukadhani umefika
    Pengine anatuacha kesho anachora X2

Na kama mnayo si mwisho wa maisha
Ni ugonjwa tu,kama malaria meza dawa,
Piga tizi,kula vizuri  utaishi fiti
Maisha utayasukuma eeeh aah namjinga usiyejua
 Kujichunga kila shimo unaona unadunga hebu jichunge kijana utakuja kufatukuzike langata
Paja usione tu,’huyo ashainua’ kifua kisipite tu’
Huyo ashajigonga ‘tako lisipite tu ‘huyo ashainua’ 2
Wee avuta pumz ,avuta pumz




No comments:

Post a Comment