Twenzetu leo ni lazima niende dunda mwanangu
Twenzetu leo ni lazima niende dunda kwa raha zangu (x2)
Du-dunda
VERSE 1
Leo ni lazima niende dunda
Nione kina njeri kina kilunda
Achieng’ eh! kina Nduta
Cheki nimeng’ara marinda
Akala chini juu label ya adidas
Nawashwa nina mapesa
Waiter chafua meza
Ukiona shawty beshte kuja
Akikulenga katika na ukuta
Dj akiboo tunamshtuka
Akwende achapwe na machupa
Lakini akibamba tunawika
Leo staki shida kusumbua medulla
Cheki ule ameingia club na miwa
Mistari zimekwisha zote kwa kichwa
So verse mi namada papaparipa
papaparipa
CHORUS
Twenzetu leo ni lazima niende dunda mwanangu
Twenzetu leo ni lazima niende dunda kwa raha zangu (x2)
Du-dunda
VERSE 2
Leo ni lazima niende dunda
Lakini kwanza kuku beba kisha kadunga
Mashawty hao manze nawazungusha
Ai si madtrizzy anakuaga lugha
Na mi ni mwenye naingia club na miwa
Wadhani kumerera lakini nalima
Najifanya siezi kudrop sina ngata
Afadhali mchezo kwa sofa paka
Nacheza reggea reggea madoba ragga
Mared red wine UB40 ahaa
Raundi mwenda nitoke hapa
Next time tuonane mwisho wa mwaka
Kisha unipate kwa mbar
Eish boss leta round moja jamaa
Iyo si ueke kwa bill ya mejja
Siezi amini vile club imenjaa aish!
CHORUS
Twenzetu leo ni lazima niende dunda mwanangu
Twenzetu leo ni lazima niende dunda kwa raha zangu (x2)
Du-dunda
VERSE 3
Verse ya tatu mic check one two
Tizi bake huku babu
Beef na jasho nenda bafu
Naingia mtaa kuskia udaku
Unakumbuka yule chali wa viatu
Yule chali kutoka kiambu
Anaiba tu akiwapiga bafu
Wacha alafu
Mama Kathanja anacon watu
Na akiganga watu anaongeza taabu
Dadake abdul amebeba
Aiyaya manyu?
Madtraxx jo ni bibi watu
Naona sa takosana na watu
Acha verse ikwishe twenzetu
Twenzetu
CHORUS
Twenzetu leo ni lazima niende dunda mwanangu
Twenzetu leo ni lazima niende dunda kwa raha zangu (x2)
Du-dunda
No comments:
Post a Comment