verse 1 (STL)
Me nina biashara, close Sintara
Flow so tight ask Chris Kantadda
Na kama huwezi shikanisha basi wee ni falaaaa!
Yeah basi we ni fala
Mi na enda pale kila kitu dola dola
President Moi Kibaki wanna hola
Na oneeesha kidooole pole
Tumbo tumbo kubwa kama Rick Ross
Pesa zetu munafanyia what?
Kazi kwa vijana pesa kwa maboss
Wacha kuwa floss
Eti wasanii wataget ganji 2030
Nitakuwa 54, made it under 30
Mbere ta mohuko wa shati ya khaki cheque karatasi
Karekeeee eeehh!
Mi ni st-ella the bigger the better
Iemcee on the mic, come test her
Hii biashara ni kaa Mpesa
Wee send, ntarecieve
Kaa husend , skuskii
CHORUS
Biashara ni biashara
Onginyona hau we nie ndigehara (x3)
Biashara ni biashara (x3)
Onginyona hau we nie ndigehara
verse 2 (Khaligraph)
Biashara niko busy na mziki ndio huwa ni grizzy
Na flow ingine maji maji utadhani Gidi Gidi
In otherwards niko tei na jaba
Ju niliskia pia kukula mei ni swagger
Am from the business land Nairobi to be specific
Crooked popos na changaa illicit
River road Baibe , that’s where u gonna find me,
I be getting ka money fast conning people hadharani
Nikona Mpesa co-operative niko na Equity
Pesa Ni mingi nimeivisha so me Nina publicity
Paparazzi piga ma picha then tuzione BBC
Ntashika ma mita, biz imejipa ju nime sign na DTP
Biashara Baibe what it do miss Stella
Am the man with the power so I’ll make you feel like Cinderella
And am making it shower so hope you got ur umbrella
Yo it’s biashara Baibe stella go ahead and tell em
CHORUS
Biashara ni biashara
Onginyona hau we nie ndigehara (x3)
Biashara ni biashara (x3)
Onginyona hau we nie ndigehara
verse 3 (Kristoff)
Nikiwa na STL siunajua graph huwa ni kali
Ju miupenda kuchew gum unaeza nipata hurli
Asalaam aleikum, waleikum salam
Miupenda Mpesa, Pesa pap na Mshwari
Hustler ambaye upeel doh kama ndizi
Mi hu-peek n peel, uyu boy sinimjuicy, hisi
Flow chizi ka matiba, na ziko on point ka, AbdubaDida!
Biashara,leta pesa, weka doe,kwenye mkeka
Minaleta, hekaheka, flow nutty ka proffesor
Kristoff, ndo anatesa, kila time, weka pressure
Pima na tapemeasure, kula Ethiopian,hapo Habesha
Anapenda Rose na yeh si Amber
Nikama vindeoo,unaeza thani ni Mkamba
Biashara ndio mi hulamba
Pesa imenifanya mweupe skuizi ka Pamba….(kristoff)
Biashara ni biashara
Onginyona hau we nie ndigehara (x3)
Biashara ni biashara (x3)
Onginyona hau we nie ndigehara
No comments:
Post a Comment