Friday, 15 July 2016

SIRUDI LYRICS BY ELANI X JAGUAR


Ni jaguaaaaar Elani baby…Wacha mi niende mi niende nimechoka sana…baki usiende usiende nisamehe mama…
Verse 1
Nitazame useme unayosema…ukishayanena jua mi na enda..wajifanya hodari…nimekusoma..weh fifi hatari..usinikaribie..Nooo..
Tafadhali skiza nayo sema..kukosa nimekosa kupetipeti Rhoda..weh wacha,wacha nikupende nikupende nikupende mama..wacha nikupende usiende nisamehe mama…

Chorus 
Sirudi sirudi tena(Mi nitajuta)
Nimechoka sirudi tena (Ukienda nitajuta)…sirudi sirudi tena…sirudi sirudi aaaaah utajuta

Verse 2
Baby tulia..wachana na makesi..nusia maua..Nerea si ni wa jana na hana maana.. ni wewe napenda..ni wewe..na penda…Sitatulia..warandaranda kote mi na lia…siku sita..warandaranda kote mi na lia…

Verse 3
Nakubali niliteleza..akanipoteza..penzi lake gereza nikawa mateka…moyo wangu ni wako mami, moyo wangu ni wako ma.. sitakutenda ntakupenda usiende…nitakuoa mama..

Chorus (twice)

Wacha mi niende mi niende nimechoka sana wacha mi niende mi niende…Nooo baki usiende usiende nisamehe mama baki usiende usiende nisamehe mama ooooh wacha mi niende baki usiende mama rudi nyumbani

1 comment:

  1. This song is the best of all...kudos elani x jaguar...love it to bits..... Great job..

    ReplyDelete