Tuesday, 19 July 2016

PREZIDENTIAL LYRICS BY OCTOPIZZO


8 Town (8 Town)
PIZZO The King… Dig it!
A Town… Mazee
You know what time it is
Kibera to the world baby


Design ye huchora saba, artist, Picasso
Hakuna cha CD, mi ni old skool ni casso
Mixtape nimewauzia ni eight minutes ni kaa soo
Figure ya chupa matime mi humconfuse na Daso
Gold digger hizi bling anazihustle
Mambleina walidhani kurap ni muscle
Na mresh wake nikimuingizia anashikwa na muscle-pull
Kabla nishoot ako zile za… PULL
Nine months later Aga Khan… PUSH
Mi na Moses na George tuna burn Bush
Na kenye tunachoma ni purple… Kush
So high kuliko angels… Dush
Ita paka cocoa puss puss
Kenye unataka bora usi lose-lose
Tei juu ya maji design ya Goose Goose
Good food, good mood


  (CHORUS)
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap

Rap-xcellency Prezidential ×2



…WENGINE NI SIASA NDOGO NDOGO TU AMBAYO… YA PESA NANE… UNAKIMBIA KAMA TAKATAKA BARABARANI… KUIMBA NGOMA AMBAYO HAIJULIKANI UNAIMBA… WAKIKUULIZA USEME SIJASIKIA… NYINYI WANANCHI WA KENYA… MSIENDE KWA NJIA HIYO… TUTUNZE NCHI YETU…


Hey
Mapockets green, zucchini
Waresh niki? Bikini
Unakunywa nini? Nakunywa Guinney
World record kila track nadrop inaingia Guiness
Tergat- Niko na gold medals ka ishirini
In short mi ni Long Distance Paper Chaser
International flag waver
Marathon lover
Tunawaacha wakijificha chini ya mabed cover
High cholesterol, mi ni mcheesy
Biz ni biz, mtu wangu niko busy
Monkey business, sikupi hii ndizi
Na bila Jay si Beyonce atafeel zii
Navaa wife beater kabla niskize ngoma za Breezy
Kabla nikunyang’anye dame naskia album ya Drizzy
Na tangu niwaibie limelight ka Lil Wayne wanadaigi siku hizi mi ni mwizi, baaaby!


  (CHORUS)
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi  it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap

Rap-xcellency Prezidential! ×2


WENGINE NI SIASA NDOGO NDOGO TU AMBAYO… YA PESA NANE… UNAKIMBIA KAMA TAKATAKA BARABARANI… KUIMBA NGOMA AMBAYO HAIJULIKANI UNAIMBA… WAKIKUULIZA USEME SIJASIKIA… NYINYI WANANCHI WA KENYA… MSIENDE KWA NJIA HIYO… TUTUNZE NCHI YETU…



Deadly ka cancer za Kansas
Na saa hii naskiza mi-mixtape ya Ras Kass
No pollution but still tunapass gas
Si reggae but inabamba hadi Ras Mwas
Enda lap ukirudi unipatie lapdance
On your marks, get set, Go
On my lap, OK, go psycho
Kaa square ama hutawahi fit kwa hii circle
Wapi map? Jaza gap
Put Your Drinks Up, Jaza cup
Where yo money at?
Pata gwap
Unafanya kwa gift shop? Basi wrap
Unaskia kudoz mtu wangu? Shika naps
Baba yao, Baba Tracy, mi ndiyo pap
Hii track ni mad kwa Instagram, Double Tap
Na hata ukiuliza Moi atakushow it’s a wrap!


  (CHORUS)
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap
It’s a wrap, ka moi it’s a rap

Rapxcellency Prezidential ×2
[Outro]
Kibera to the world, na si tafadhali mtu wangu…
King!
It’s Namba Nane Baaaiby!

No comments:

Post a Comment