Intro
Eeh, Lovechild pon di case, Nonini
Beat ya Kegah
Chorus
Mziki uende mbele, heshima idumu, heshima idumu
Jina kukawia, watafurahia, watafurahia
Mziki uende mbele, heshima idumu
Jina kukawia, watafurahia
Verse 1 [Nonini]
Hawa watu lazima wajue si ndio tulianzisha hii mambo
Lovechild, Godfather, time ya ku report kwa dancefloor
Hii ndio kitu wanangoja, inabidi wanasonga
Tumechoka watiaji, kazi yao tu ku chocha
Beat ikigonga sana jua ni ya Kegah
Toto amesimama sana huyo ni wa kupiga
Ma engineer wa mziki, ma fundi wa mitambo
Ma pioneer wa mziki toka tu kitambo, boom
[Wyre]
What it do? Into my business
Dem call it Dancehall or Genge we mix it
Your sound a breakdown yeah we fix it
Competition we are break it like biscuit
Eh, Lovechild & Godfather
Heavy tune we drop bigger & harder
Negativity to we a mean nada
Because of music we rocking that Prada
Chorus
Mziki uende mbele na jina kukawia
Tunakuama hapa milele, hakuna kuwaachia
Mziki uende mbele na jina kukawia
Dancehall na Genge, ni Wyre, Nonini
Verse 2 [Nonini]
Walitupenda sana tukianza
Wakatuchukia bana tukipanda
Wanatupenda tena, na tutafanya
Watatupenda zaidi, roho zao tumesanya
Tunaishi kwa future, mziki ki Matrix
Lakini tumeamua kurudi back to basics
Napenda smile yako na we ni msexy
Best player dunia, niite Messi
Hah! Nikushike kama wale ma jamaa
Bora miguu tu kaa zile za sana
Leo fire mtoto balaa
Tu dissapear Ulaya, hivo tu ndio inafaa
Nipe mji, wapi tunaingia
Instrumental gani tunaimbia
Wasupa wakali tunawakatia
Kizungu, kilami tunazungumzia
Chorus
Mziki uende mbele na jina kukawia
Tunakuama hapa milele, hakuna kuwaachia
Mziki uende mbele na jina kukawia
Dancehall na Genge, ni Wyre, Nonini
Verse 3 [Wyre]
To be bottom at the charts, we nuh wanna
Number one a be we kinda persona
Bad mind, dem a hide around di corner
Wanataka kutuvuta nyuma sana
Eh, wanataka kubishana
Nuff of dem wanatry kunikana
Negativity to we a mean nada
Because of music we rocking dat Prada
[Nonini]
Pande ya royalties, tunawapiga ma meter
Show ukitaka unatoa tu kama six figures
Hizi streets ziko lockdown tumetinga
Wagenge true, mafans wangu nawaita
Ma stalker kazi tu kufuata twitter
Ngazi tunapanda juu kabisa
Hata miaka zizidi kuenda
Wajue bado sisi ndio kusema
Chorus
Mziki uende mbele na jina kukawia
Tunakuama hapa milele, hakuna kuwaachia
Mziki uende mbele na jina kukawia
Dancehall na Genge, ni Wyre, Nonini
Outro
Ma engineer wa mziki, ma fundi wa mitambo
Mziki uende mbele, beat ya Kegah, hahaa
Ma pioneer ki mziki toka tu kitambo boom
No comments:
Post a Comment