Thursday, 21 July 2016

LOOKING FOR YOU JUX FT JOH MAKINI


Verse 1
Bora nikose pesa mali, nyumba Gari
niwe nawe
Nifanye kazi bila Salary,Yote heri
niwe nawe
Ninavyotaka niwe nawe,hawapendi tuwe
Nieleweee, ninavyotaka niwe nawe
I wish ujue, iiiiiiiiiiii
Kama vipi sema mamy, nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie *2
Chorus
Verse 2
Ndoto yangu ipo siku
nitakuwa nawe
Na nina imani nitaweza, nitashinda penzi lako
Ntampenda nani (Kama sio wewe), nitamtaka nani (Kama sio wewe) *2
Kama vipi sema mamy, nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie*2
Chorus
Am looking for you
looking for you
Verse 3 (Joh Makini)
Ni aina gani ya Juu is this, Macho juu juu sina ubishi
Roho Juu juu, Mikono juu juu
Nimesalimu amri,Nakuhakikishia Tafsiri, ya maneno kwa vitendo
Hakuna maneno nimekwiva,nipe kitengo..
Niache kushika tama,Nisimame nikushike salama
Nisikupige mtama,nisikuvute ka kuku kwa mtama
Yote sifa kwa maulana, uumbaji huu sioni kasoro bwana,
Kupendana ni kulindana,Kwa kila kesi niifanye dhamana.
Akana na kaire Kona,Utafanya nami naona
Utafanya nami ntapona
upofu wa mapenzi ntaona,napona na raha na Bonus
itika basi nitulie nafsi Bonus….
Chorus:
I’m Looking for you
Looking for you

No comments:

Post a Comment