Thursday, 14 July 2016

KARE LYRICS BY P-UNIT


Intro [Frasha]

Mazee nilipatana na huu dame

Akani-show hakuna ma MC wakali

So,  nikampeleka Decimal

Akapatana na P-Unit

Alafu Musyoka akanipea hii track

Twende kazi


Verse 1 [Frasha]

Frasha, mi mkare

Nilianzanga mziki tu na Nakitare

Akajikalisha basi tu na dakitare

Si unajua Frasha nakuwaga dakitare

But mtaani, mi ni ordinary

Si wa geti kali, boss mi mnare

Ndio maana tudame tunashindanga kerere

Wanataka mpango wa kando ati niwadare

Boss, hey, nisha-mare

Niko mdogo mdogo tu kwenye gare

Mmm, ha? Si usare

Nikisonga mbele wako pare pare

Pale pale? Eh, pare pare

Si tuko kwenye club tuna-party party

Parerezo yaani pare pare

Mnarusha mizuga tu pare pare


Chorus

Maishani mwangu

Sijapata mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu

Sijamwona mkare, mkare, mkare


Verse 2 [Bon'eye]

Bon'Eye jemedari mkare

Mistari generale kare

Generali tangu kale, kare

Kikundi serikale, yaani

Siri kali tangu kale, kare

Haijalishi kale gani kare

Kazi zote karekare, kare

Nakatika ile hali kare

Cash and carry in a hurry, kare

Carry forward, Kari Francis, haree

Safari za mbalimbali, kare

Biashara mbarembare, kare

Hatuchoki na hii safari, kare

Sauti za kinyumbani, kare

Wekelea kwa dakitare, kare

Ya dakitare na ni kare ke!


Chorus

Maishani mwangu

Sijapata mkare, mkare, mkare

Maishani mwangu

Sijamwona mkare, mkare, mkare


Verse 3 [Buganya]

Buganya mimi nina sware

Madada kibao, wote shware

Wanamuka mbele yangu, na ni sare

Wanataka leta noma na kucheza ngware

Kwangu kuja nje kuna mbwa kare

Nyumba ndani huko pata bibi kare

Mkare, mkare, mkare na si mkale

Nimeng'ara Karl Kani gani toka kare

Nimechapa toto ware ware bado kare

Kama umeshindwa basi reta ture

Na uongeze ture ndio mi nikure

Kuja turerembe kure tuko rembe

Nyewe kowa manyu wanataka rembe

Wanakaa nakatika kama wembe

Otwabe cheki Buganya kitambe

Chorus

Maishani mwangu
Sijapata mkare, mkare, mkare
Maishani mwangu
Sijamwona mkare, mkare, mkare

No comments:

Post a Comment