Monday, 25 July 2016

Chelewa lyrics by Navy Kenzo

[Intro]
Satui tui tui tuita
Dida dida dida ide
Aika
Dida dida dida ide
Nahreel
Dida dida dida ide
Navy Kenzo!
Dida dida dida ide
[Chorus] x4
Say bokodo, mbona unachelewa chelewa
Bokodo, mbona unachelewa chelewa
[Verse 1 Aika]
In the city where I stay mila na desturi
Mwanaume kwanza heshima
[Nahreel
Ohh oh nishapita kila way
Kuonyesha nilivyokuweka kwenye mutima
[Aika]
Na nilifundwa mkole
Dira nzuri kwake kutoka kwa baba na mama
[Nahreel]
Mi nahisi bado unanionea labda wewe huna nia bora uniambie
[Chorus] x4
Say bokodo, mbona unachelewa chelewa
Bokodo, mbona unachelewa chelewa
[Verse 2]
[Aika]
Mpenzi usilalamike kuwa mvumilivu najua unaumia sana
[Nahreel]
Ohh oh najihisi mpwekee miaka inaenda
Na siku zinazidi songa
[Aika]
Get on your knees and I be yo ride
Can not be only on your side
Bring over bring over I putchu in the pot
Again and again make ma mama smile
Pay for the whisky ma papa high
Put on the wrist do the chagga dance
I get all the blessing
Your mine
You get all the blessing
And yes I’m yours
[Chorus] x4
Say bokodo, mbona unachelewa chelewa
Bokodo, mbona unachelewa chelewa
[Bridge]
Its so cold out here
Na mi nataka niwe nawe
Its so cold out here
Na mi nataka niwe na wewe
[Chorus] x4
Say bokodo, mbona unachelewa chelewa
Bokodo, mbona unachelewa chelewa
[Outro] x4
Say bokodo, dida dida dida ide
Bokodo, dida dida dida ide

No comments:

Post a Comment