Wednesday, 6 July 2016

BOOMBA TRAIN LYRICS BY E-SIR FT NAMELESS




Intro

Tumekuja, kuparty, Dj hebu weka tracky
Tukule hepi, halafu, tufungue sakafu
Sababu inabamba, inashika
Wingu la tisa, inatufikisha
Ukiachilia mahewa, maze Dj unatubeba

Chorus 
Ah (Uuuiih) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
(aiyaah) boom boo-mba boomba boomba aah

Verse 1
(E-sir)

Karibia, inakubamba, vipi dada, shaky your nanda
Ninakutouch touch, usi relax-lax
Kwenye dance floor, show us your work work
Unanoki, hauchoki, kwenye dance floor, hautoki
Unahisi, hii muziki, unahisi, Nameless na mimi
(Nameless)
Its Nameless, (AH!) na E-sir, in conjunction with Ogopa
tumekuja kuhakikisha, kwamba spika zinasikika
Hey you Mister are you a member
Hey you sister wacha kulenga
cant you see that I'm talking to you
sasa weka mikono juu

Chorus 
Ah (Uuuiih) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
(aiyaah) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
Ukikatika na hii ng'oma
Just be cool as a cucumber

Verse 2
(E-Sir)
Aaaaaaaah (Hallo nameless uko freshy lakini)
Twende
Wewe yeye, yeye wewe, vice versa
Vile wataka, mister brother wacha kuzubaa
Uki sleki hautapata, fungua macho
Floor ni yako, cheza wimbo kama ni wako
Cheza wimbo kama ni wako, sababu huu wimbo ni wako
(Nameless) E-Sir hatucheki na watu
(E-Sir) Nameless hatucheki na watu
(Nameless) Ma M.C. hatucheki na watu
Ogopa hatucheki na watu
(E-Sir) Unahisi hizi flow za Africa (aha)
Unahisi kama unakatika (aha)
Can you feel this front to the rear (aha)
Can you feel this up in here

Chorus 
Ah (Uuuiih) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
(aiyaah) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
Ukikatika na hii ng'oma
just be cool as a cucumber

Bridge (E-Sir)
Tumekuja, kuparty, ambia wenzetu samahani
Hawako nasi, hatuko nao, basi wametupa mbao,
Sababu inabamba, inashika
Wingu la tisa, inatufikisha
Ukiachilia mahewa, maze Dj unatubeba

Chorus
Ah (Uuuiih) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
(aiyaah) boom boo-mba boomba boomba aah

Ah (Uuuiih) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
(aiyaah) boom boo-mba boom boom boom boo-mba
Ukikatika na hii ng'oma
Just be cool as a cucumber

No comments:

Post a Comment