Thursday, 21 July 2016

AIYOLA LYRICS BY HARMONIZE


[Intro]
WASAFI
Aiyo Aiyola iyee
Aiyola mama
Aiyo Aiyola
[Verse 1]
Mmh!
Nilifundishwa na bibi kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi na ngumi ila upande wa
kanga
Tena mapenzi sio ligi, nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa giraji sishindani risasi kwa panga
Mbona nilikuthamini mengi nikakusevia
(Aaha!)
Sikusema hadharani, wengi wakayasikia (Aaha!)
Sio wa kunipanda kichwani, hukumbuki
tulikotokea (Aaha!)
Na kunishusha dhamani, kipi nilichokosea
(Aaha!)
[Pre-Chorus]
Ingawa kidogo nilichopata nikajinyima uridhike
Ila hukujali, ukanikatili moyo
Majirani walinicheka, ulipo-force nipike
Aah! Sio siri ilinivunja moyo
[Chorus]
Oh! Kithirani, ugomvi bila chanzo
Ni kweli upo moyoni sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande (Aiyo Aiyola iyeeh)
Sito-force unipende (Aiyo Aiyola iyeeh)
Oh kishingo upande mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
Si bora uende mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
[Verse 2]
Sitosema mapenzi basi
Nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi ili kufanya chaguo
Aah chaguo la moyo kumbe ulipita njia
Nilivyowanyima ndugu, visiri nikakutunzia
Usijeleta vurugu, akili ukaitibua
Najuta kujitia bubu, sitaki vya kusikia
Kisa pendo unisulubu, mengi nishayafumbia
[Pre-Chorus 2]
HEH!
Mbona nilikuthamini mengi nikakusevia
(Aaha!)
Sitosema hadharani, wengi wakayasikia (Aaha!)
Si wa kunipanda kichwani, hukumbuki
tulikotokea (Aaha!)
Na kunishusha dhamani, kipi nilichokosea
(Aaha!)
[Chorus]
Oh! Kithirani, ugomvi bila chanzo
Ni kweli upo moyoni sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande (Aiyo Aiyola iyeeh)
Sito-force unipende (Aiyo Aiyola iyeeh)
Oh kishingo upande mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
Basi bora uende mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
Ingawa kishingo upande (Aiyo Aiyola iyeeh)
Sito-force unipende (Aiyo Aiyola iyeeh)
Oh kishingo upande mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
Basi bora uende mama (Aiyo Aiyola iyeeh)
[Outro]
Kishingo upande
Kishingo upande (Aaha!)
Na Max Mahizo (Aaha!)
Harmonize baby!
I’m nice baby! (Aaha!)
Dibilion (Aaha!)

No comments:

Post a Comment