Ndi Ndi Ndi
Tolly..... Ndi
Ndi Ndi Ndi Ndi
Tolly..... Ndi ×2
Unanipa nafasi ya kuendelea, na sababu kuamini
Unatakiwa uishi ooh... bila kujali wafikiria nini mmh
Sababu......
Siangalii nyuma na sitorudi nyuma
Fondo nura fizo so mya, ndoto zimetimia
(CHORUS)
Ze
Ndi Ndi Ndi
(Navyoroll, Navyoflow, Navyogrow)
Tolly Ndi ×4
Niliwezaje kutoa vyote eeh, ili hali wewe uliniyima vyote eeh
Kama ni jipu lilovimba zaidi
Nikasahau chizi huwa haponi, kama chozi mvuani
Hatimaye kumekucha milembe nimekushusha
Na geti likifungwa naondoka Ndi Ndi Ndi
(CHORUS)
Hatua kwa hatua ngazi nazipanda
Nayo makovu yameni imarisha
Moyo mfukoni tabasam mdomoni, furaha yangu
Ooh yaja kwanza mambo yotee, nimeyavua ooh chini
Nimeyatua kikomando!!
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment