Rauka jamaa, kumekuchaa
Miaka kumi na sita, kidato cha kwanza
Pokea salamu, siku mpya
Insyder za kwanza, zasifiwa boma
Kaipokea tetesi, moja shuleni ni wikendi
Barua uliyoituma, nimeshasoma na sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika
Sijaweza kupumua aaah
(CHORUS)
Hapo zamani nikajua ningekuoa
Hapo zamani ukiambiwa unapendwa waamini
Ukipendwaaa, una imani
Nilikuwaza saana mchana kutwa
Wewe sukuma mimi ugali wishwa na tulipendana kinyama
Nikaipokea tetesi, una mwingine akula mishikaki, aishiye kifahari
Mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika
Sikuweza kupumua
(CHORUS)
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment