NIPE NIKUPE LYRICS BY SAUTI SOL
Verse1
Hey, baby,nataka nikupende mama,
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
darling ,nataka nikupende ,ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4),x2
(unipe nikupe )x4
repeat
verse2
Hey, baby( my babyx4),
nataka nikupende mama,
(nataka nikupende mama)
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya nipe nikupe,
(my my) my darling ,
nataka nikupende ,ie
vile ninavyokupenda nataka unipende,
ni mapenzi ya (nipe nikupex4),x2
(unipe nikupe )x4
No comments:
Post a Comment