Thursday 3 December 2015

NAIMANI LYRICS BY RICH MAVOKO


NAIMANI LYRICS BY RICH MAVOKO

Verse1
Oneni mboni zinaumia ,
Kuna mengi, yanayonikwaza,
Nalalamika ndani,huku nalia,
japo  usoni,Mi nachekaga,
nasikia mapenzi, kikohozi,
mwambieni nakonda na tb,
alma nusura uzima, nisije kata kauli,
na kumwacha siwezi ,kwa mtima kashakuwa nguli,
kanifinyaga mazima, penzi limebaki kivuli,

japo pombe nakunywa cha ajabu silewi,
zinazidisha mawazo,kiamungu sielewi,
mwezenu pombe nakunywa cha ajabu silewi,
zinazidisha mawazo,mawazo ooh,


nami naimani nawe,
naimani na,
naimani,
we ndo mtuliza mawazo
mi naimani nawe,
naimani na,
naimani,
we ndo mtuliza mawazox2


si akilanga penzi si nguo,kuazima na haramu,
na ikibidi mueleze,  nimeshafundwa chunga chungiro,
kinachokupa utamu,ndio kitakupa mawenu ,
napepesa macho, ili ning’amue lolote,
mapenzi ni utundu, anaeza akaachwa yeyote
kuonja sio now ,me njonjo sina,
ukweli unayempenda ndio anauma


(chorus)
Mwezenu kauli mi sina,lakini ikizidi nazima,
(Mama we) nashindwa kusema,(mama we)
Ikibidi umwambie ,kanikoleza mazima (mama we)
Hakuna alichoninyima (mama we),
Amenitema mapema , (mama we),ikibidi umwambie
Kesho naamka na bima (mama we),
Kanituliza mtima (mama we),
Nimpe lunch na dinner (mama we),
Ikibidi umwambie  eeh
(mama we)x3,

ikibidi umwambie eeh

No comments:

Post a Comment